Haya ni maneno mazuri hasa kwa kijana wa leo, mwenzetu hapa msanii maarufu duniani anayejulikana kwa jina la Chriss Brown ameudhihirishia umma hapo jana kwa kuonesha jinsi gani anampenda mtoto wake huyo kupitia ukurasa wake wa Instagram.
Maneno hayo pia yatumike kama Inspiration (hamasisho) kwa wale waliobahatika kupata watoto lakini hata pia kwa wale ambao hawajabarikiwa kupata mtoto basi tujifunze kupitia kwa watu kama hawa kwa maana wengi wetu tumejichagulia kuwa msanii flan kwangu mimi ni Role Model basi ndugu msomaji hamasika na jifunze pia.
Nimalizie tu kwa kusema TUWE NA UPENDO KWA WATOTO, AWE WAKO AU WA JIRANI YAKO "MTOTO NI BARAKA" MTOTO NI ZAWADI
No comments:
Post a Comment