Tuesday, 4 October 2016

SNOOP DOGG AONESHA TUZO YAKE

Wakati zoezi la utoaji wa tuzo za BET HIP HOP AWARDS likiendelea mkali Snoop Dogg Dogg akamuua ku'show love akiwa na mkali mwenzake Big Tigger Show kwa kuionesha tuzo yake hiyo.

BET HIP HOP AWARDS zilifanyika Atlanta ,Georgia nchini Marekani.

Pichani ni msanii Snoop Dogg akiwa ameshikilia tuzo hiyo.

:Published by Hood Beby (Blogger) © 2016

No comments:

Post a Comment