Masaa machache yaliyopita msanii wa marekani maarufu kama Chris Brown alituma picha kwenye mtandao wa kijamii unaojulikana kama Instagram.
Alifanya hivyo kwa lengo la kuwafahamisha mashabiki zake kuhusu ziara yake ya kwenda nchini Kenya barani Africa.
Kwenye onesho hilo litakalofanyika nchini Kenya msanii huyo almaarufu kama Chris Brown atapanda stage msanii Wizkid msanii kutoka nchini Nigeria.
Pichani ikimuonesha msanii Chris Brown akiwa na private jet akiudhihirishia umma kwamba yuko tayari kwa safari hiyo.
Na haya ndiyo maneno aliyoyaandika
No comments:
Post a Comment