Thursday, 6 October 2016

PICHA KADHAA ZIKIONESHA VITU VYA THAMANI ALIVYOPORWA KIM KARDASHIAN

Baada ya lile sekeseke lililomkuta mwanamitindo maarufu kama Kim Kardashian kuporwa vitu vyake vya thamani ikiwemo Cheni, Pete, na Mikufu hatimaye amesema hatoweka tena mali zake mitandaoni.

Kim Kardashian baada ya kuvamiwa na majambazi na kuporwa vitu vya thamani, amesema haweki tena mali zake kwenye mtandao.

No comments:

Post a Comment