Nikiwa kama mmiliki halali wa www.hoodbeby.blogspot.com nachukua fursa hii kumshukuru kijana mdogo sana lakini very talented kwa kujitolea kubuni hii cover photo na kuamua kunizawadia hii picha.
Nikushukuru sana Kendrick Msodoki (facebook) pia @kendrickmsodoki_official (Instagram) na Dirty Logo (facebook page)
Kila jambo linawezekana na kila jambo linahitaji support kubwa toka kwa wadau hasa kwa upande wa media.
No comments:
Post a Comment