Mixtape mpya ya Rapper wa Marekani Meek Mill aliyoipa jina la DC4 yaani ni Dream Chasers 4 tayari imetoka.
Hii ikiwa ni muendelezo wa Mixtape zilizotangulia ikiwemo DC2 , DC3 na sasa ni DC4. na pia ametangaza mitandao ambayo inapatikana mixtape hiyo ikiwa ni TIDAL mtandao wa rapper Jay Z unahusiana na kusikiliza, kuangalia na kupakua video audio.
Inapatikana pia Datpiff.com, iTunes.. Kwa wapenzi wa rapper huyo Meek Mill wanaweza kutembelea hizo websites na kupata mixtape hiyo
No comments:
Post a Comment