Monday, 3 October 2016

Njugu Nathan ama unaweza kumuita (Hegut) au pia anafahamika kama Nathan Junior kule facebook. Ni kijana mdogo aliye na taaluma ya Video Shooting and Video Editing, Graffics Designer, Logo Designing etc. Alifanikiwa kusomea vitu hivyo pale Media One Upanga jijini Dar es salaam

No comments:

Post a Comment