Picha: Roma na mkewe watimiza mwaka mmoja wa ndoa
By Hood Beby on October 3, 2016 - Tarehe 3, Oktoba, 2015, Roma na mkewe walifunga ndoa huko Tanga. Roma ameiambia Bongo5 kuwa amejifunza mambo mengi kwenye maisha ya ndoa. Anadai kuwa kuwa mume ni dhamana. Wawili hao wana mtoto mmoja wa kiume.
Tunakukumbusha na picha zao ndoa yao hapo chini.
Copyright © 2016 Hood Beby
No comments:
Post a Comment