Hii imetokea kwenye mtandao wa kijamii almaarufu kama Instagram kwa msanii Baraka Da Prince ni baada ya kupata picha amabayo ni video cover photo.
Picha hiyo imemuonesha msanii mchekeshaji anayejulikana kama Stan Bakora kwa kujipaka mkaa usoni ili kuleta uhalisia wenye kufanana na msanii Baraka Da Prince.
Mtazamo umekuwa wa tofauti, mashabiki wameonesha kufurahishwa lakini kwa mlengwa imekuwa tofauti na kuamua kutuma picha Instagram na kuandika maneno ambayo inadhihirisha dhahiri kuwa hajaridhika na kitendo hicho na kumtaka asiendelee tena.
No comments:
Post a Comment