Monday, 17 October 2016

MANENO YA DHARAU KWA DIAMOND

Lile beef linaloendelea kati ya aliyekuwa  baba watoto wa Zari The Boss Lady anayejulikana kama Don Ivan Semangwa linaonekana kuendelea kimya kimya na kutokuwa na mwisho wake, Hilo limejidhihirisha wazi baada ya baba watoto huyo kupost picha kwenye mtandao wa kijamii facebook iliyotumwa september 27 ikionesha nyumba za msanii Diamond Platnum na kisha kuandikia maneno picha hizo.

Diamond platinum bought this funny house and was allover social media mocking me....
I laugh
But tell him,
His 2 cribs both in Tanzania and south Africa, can't even buy any of my cars...
So tell him to respect Elders... Rubish

Akiwa  amemaanisha
Diamond  Platnum bought this funny house and was allover social media mocking me
"Diamond Platnum alinunua nyumba hii na kupata kusambaa sana mitandaoni"

I Laugh
"Nacheka"

But tell him
"Lakini mwambieni"

His 2 cribs both in Tanzania and South Africa, can't even buy any of my cars........
"Hizo nyumba zake mbili kati ya Tanzania na South Africa haziwezi kununua hata moja ya gari zangu"

No comments:

Post a Comment