Hili ni tukio linaloendelea huko Wilayani Temeke, maeneo ya Mbagala Zakhem, tukio hili ni fainali ya kumtafuta mshindi wa shindano linalojulikana kama Dar Mpya lililoandaliwa na kituo kimoja cha redio kijulikanacho kama Clouds Fm.
Leo tarehe 15/10/2016 majira ya mchana ndiyo fainali za kumtafuta mshindi huyo na huku kukiwa na watazamaji wengi waliojitokeza kwenye shindano hilo.
No comments:
Post a Comment